Ruka hadi kwenye maudhui makuu

MAKADIRIO YA MRADI WA BROILERS

UFUGAJI WA KUKU BROILER

 Makadirio ya gharama za ufugaji kwa vifaranga 100

Kwa kipindi cha siku kati ya 28-32...

Vifaranga 100 box 140000

Chakula starter 1@ 68000

Grower 2 @67000

Finisher 2@66000

Chanjo
Newcastle 6000
Gumboro 6000
Newcastle 6000
Neoxychick 5000
Maranda mifuko miwili 4000
Vyanzo vya joto 20000

Hizo ni garama za lazima kwa ufugaji wa broilers

Na hizi gharama ni kwa mikoa kama MORO...IRINGA...DSM...na zinaweza kushuka au kupanda  kwa kutegemeana na gharama za vifaranga na chakula mahali ulipo

NB Kama utaruhusu magonjwa yawe mengi bandani garama za madawa zitaongezeka

Amplorium 1000 kwa Coccidiosis
Tylodox 12000 kwa Mafua

Nawasilisha.....kwenu mtupe nanyie kwa maeneo yenu

Hapa sijaweka gharama za kuajili mtu wa kulisha naamini huwezi ajiri mtu kwakuku 100

Chakuzingatia hapa utunze mazingira ya kuku wako ili wasiugue....upunguze gharama za madawa

By Greyson kahise mtaalamu wa kuku

 0769799728 0715894582

Maoni