Mpaka sasa nime Fanya research ya Formula ya kutengeneza chakula cha kuku naiuza 20000 na sikosi wateja Huwa naandaa business plan za kuku based industry ila kwa namna ya kusaidia bei kuanzia 30 kubwa kabisa nimewahi kulipwa 120 K Nilishauriwa niandike kitabu na wafugaji watakinunua ndivo nilivo Fanya Kinaitwa FUGA KUKU KITAALAMU nauza 10000 mikoa yote TZ ni mradi unaonipa pesa nyingi kwa sasa baada ya kuanza kazi za kampuni na kubanwa kufanya ufugaji nje ya mshahara. Nilianza bila mtaji, nikawekeza kwa watu , wamenipa mtaji na naendelea kufanya nao biashara nyingi hasa kama KUKU EXPERT AM HAPPY FOR THAT karibuni sana tutumie taaluma zetu mi najivunia kusoma ANIMAL SCIENCE sana Namiliki LOGO yangu ya KUKU BIASHARA TZ na mwezi ujao nitasajili KAMPUNI YANGU BRELA By Kahise Mtaalamu wa Kuku 0769799728/0715894582
Inahusu ufugaji wa mifugo ya aina mbalimbali