MAANDALIZI YA SEHEMU YA KULELE VIFARANGA/ BROODING AREA 👆Brooder ( kinengunengu), hii ni sehemu ya muhimu sana , na yakuzingatia sana wakati wa malezi ya vifaranga SIFA ZA BROODER 👉Joto lakutosha 👉Randa/matandazo 👉Maji 👉Chakula 👉Hewa ya kutosha 👉Mwanga 👉Nafasi ya sahihi ya kutosha 👉👇nini sasa ufanye kuandaa brooder/ sehemu ya kulelea vifaranga. 👉Kwanza angalia idadi ya vifaranga wako, 👈Brooder inaweza kuwa ya duara, kama utalea vifaranga wachache 👈Kama utalea vifaranga wengi unaweza kutengeneza brooder ya pembe nne kwa kuzingatia vipimo. MATENGENEZO YA BROODER YA DUARA 👉Tafuta siling board, ikate kwa urefu vipande vitatu (standard 30-40 cm) kimo, au wengine hukata Mara mbili *(katikati)* 👉Unganisha vipande ulivyo vikata kutengeneza duara lako, Mimi huunganisha kwa kuchana kibao kwa msumeno kitakacho shikilia siling board upande wa juu kwenye maungio. 👉Kitaalamu mita moja mraba hutosha vifaranga 40, ila eneo utakua unalitanua kwa kadri vifaranga watakavo kua wanaong...
Inahusu ufugaji wa mifugo ya aina mbalimbali